REFINEMENTS

XCLUSIVE : MWIJAKU GIVES ADVICE DIAMOND PLATNUMZ AND ALIKIBA








"#TAHARUKI .Muda katika Biblia Takatifu ,umeandikwa katika vifungu 21.Zaburi 90:12 ,"Utufundishe ufupi wa maisha yetu ili tuweze kuwa na hekima."

Jinsi unavyotumia muda wako ndio jinsi unavyotumia maisha yako,Usipoteze maisha yako kwa kupoteza muda wako.
.
.
Warren Buffet alizaliwa Augost 30,1930 ,Omaha,Nebraska's -U.S.A na kwa sasa ana umri wa miaka 89.
.
.
Alipokuwa na umri wa miaka 15 alikuwa na akiba ya kiasi cha $6,000/=
Miaka 19 -$10,000/=
Miaka 21-$20,000/=
Miaka 30-$ 1 Million
Miaka 34-$3.4 Million
Miaka 37-$10 Million
Miaka 43-$34 Million
Miaka 47-$67 Million
Miaka 53-$620 Million
Miaka 56-$1.4 Billion
Miaka 58-$2 Billion
Miaka 59-$ 3.8Billion
Miaka 66-$17 Billion
Miaka 72-$36 Billion
Miaka 83 -$58 Billion
Kwa sasa ana miaka 89 na utajiri wa $ 86 Billion.
.
.
Kila sekunde anaingiza $ 118
Kila dakika anaingiza $ $6731
Kila saa anaingiza $ 403,860
Kwa siku anaingiza $ 9,692,640.
Kwa mwezi anaingiza $ 294,817,800
Kwa mwaka anaingiza $3,637,813,600.
.
.
Kijana Justin Sun,mwenye umri wa miaka 29 aliomba kuwa na wasaa wa chakula cha mchana na Warren Buffet kwa gharama ya $ 4.6 Million .
.
.
Watu wenye pesa huzungumza lugha moja ndio maana kijana Justin aliomba mualiko ulioambatana na kiasi cha pesa chenye thamani ya $ 4.6 Million sababu Warren Buffet,kila sekunde,kila dakika na kila saaa anaingiza pesa na hana muda wa kupoteza.
.
.
Ni vyema tukathamini muda na kuutumia vyema tusije tukawa na majuto haya,"Nilipokuwa na muda sikuwa na pesa ,na Nilipokuwa na pesa sikuwa na muda na Nilipokuwa na pesa na muda sikuwa na afya...mmenielewa nyie viumbe hapa?
.
.
Alikiba na diamond ndio wasanii wakubwa Tanzania na E Africa lakini si dhani kama wanajua thamani ya muda wao ..! .
.
#MerryChristmas
#AskMwijaki
#Hatukufundishi:"







No comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();