REFINEMENTS

XCLUSIVE : HARMONIZE ARRIVING TIME TABLE






"Nilitamani Sana....!!! Nifike Tandahimba
Mapema Najua Kuna Mengi Ya Kufanya Lakini Pia Maandalizi Kuelekea Hii Siku Ya Kihistoria 31/12/2019 Ila Kutokana Na Majuku Kadhaa...!!! Nitachelewa Mana Balaa Linaanzia Mombasa...!! Tarehe 29/12/2019 So Nitatua Dar Es Salaam Tarehe 30/12/2019 Asubuhii Mapema..!! Then Tutachukua Chombo Kuelekea Pale mjini #Tandahimba ...!!! Ila Sasa Siwezi Fika Tandahimba Bila Kupita Mtwara Mjini Kuwapa Shukrani Na Kuwatakia Kheri Ya Mwaka Mpya....!!! So nitatua #NangwandaSijaona🏟 Saa 5:00 AsubuhiiTutapeana Mkono Wa Mwaka Mpya Pale...!!🎉🎊🎁🎁 Then Chombo Inaruka Mpaka #Masasi Panaitwa Maswa Town...!!!! Chiii Saa 6:30 Mchana Chombo Itatua Pale #UwanjaWaFisi Nitafika Kuwashukuru Na Kuwatakia kheri Ya Christmas Na Mwaka Mpya....!!! 🎁🎊🎄 Alafu Chombo Ikichomoka Pale Itatua #NEWALA Pale #SabaSabaStadium Tukutane Hapo Wanangu Wa #NEWALA Saa 7:00 Mchana Kweupe ...!!! 🎁🎉🎊🎊 Chombo Itapaa Mpaka #MAHUTA Pale #ChikongolaStadium 🎁🎉🎊🎊...!!!! Kutoka Hapo Sasa Ndio Tunatua Mjii Mkuuu Yani Namaanisha pale #TANDAHIMBA 🎉🎊🎁🎉🎁📢📢📢 #MajaliwaStadium 🚁🚁🚁🚁🚁🚁 @jembenijembe"



No comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();