REFINEMENTS

XCLUSIVE : HARMONIZE FREE CLOTH GIVE OUT GALA





"#KONDEBOYGALA #KONDEBOYGALA ðŸ“¢ Wacha Nikujuze Hili...!!! Kama Hujajua..!!! Sehemu Kubwa Inayokula Pesa Ya Msanii Yeyote Duniani ni Mavazi Namaanisha Nguo Viatu Sijuwi Makofia Vyeni...!!! Mara Mapete...!! 🧥🥼👔👖🕶🥽🧤👟👞🧢🧦🥼 Nguo Kwa Msanii Huwezi Zikwepa Nilazima Ununue Kila Siku Na Ubaya Wake Ni Kwamba Ukishavaa Mara 1. Ukapiga Picha Na Kupost Instagram Iki Trend Huirudii Tena.!! Kesho Unanunua Nyengine Hivyo Basi Nimekuwa Katika Muziki Kwa Miaka (5) Sasa Na Kilasiku Ziendazo Kwa Mungu Nimekuwa Nikinunua Nguo..!!! So Kwakuwa Tarehe 31/12/2019 Ni Siku Special Kwangu Na Ndugu Zangu Wa Nyumbani Nimefikiria Nifanye #KONDEBOYGALA AMbalo Litakuwa Na Nguo Zote Nilizo Anza Kununua Na Kuvaa Kuanzia Mwaka 2015
Mpaka 2019 Nitazigawa Pale nyumbani..!! #TandahimbaSokoni Muda Ni Saa 7:00 Mchana So Kama Ushawahi Itamani Nguo Yangu Yeyote...!!! Ile Umeiona Kwenye VIDEO..!! PICHA..!!! POPOTE PALE YEYOTE
We Njoo Pale TandahimbaSokoni Nitakupatia Bure Hutolipia Shilingi ( 0 ) #KONDEBOYUMAKONDENI ðŸ¤ž❤ #KONDEKARUDIKWAO"




No comments

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();